SpiderThy
Member
- Dec 12, 2016
- 88
- 72
Inaruhusiwa kutoa ila vigezo na masharti vinazingatiwa. Bank ina internal communication,so unaenda direct kwa bankteller unatoa hela au anakudirect.kaka akaunt ya muda maalum huwa imefungwa huwezi toa pesa dirishani wala ATM, Sio swala la kumbembeleza manager ila yeye ndo ana mamlaka ya kufungua akaunt yako baada ya kumueleza tatizo lako, kaka mi naona tafuta kibubu tu.