Mwenye uelewa kuhusu (BANK) BONUS ACCOUNT

Mwenye uelewa kuhusu (BANK) BONUS ACCOUNT

kaka akaunt ya muda maalum huwa imefungwa huwezi toa pesa dirishani wala ATM, Sio swala la kumbembeleza manager ila yeye ndo ana mamlaka ya kufungua akaunt yako baada ya kumueleza tatizo lako, kaka mi naona tafuta kibubu tu.
Inaruhusiwa kutoa ila vigezo na masharti vinazingatiwa. Bank ina internal communication,so unaenda direct kwa bankteller unatoa hela au anakudirect.
 
Asilimia moja kwa mwezi kwa balance yoyote ndogo mf mil1 kushuka chini. Ila kunaweza kukawa na mabadiliko.
Mkuu me nimefungua Ila kuna jamaa aliniambia muhimu sahihi ukariri nimekuwa mzito kuweka hela coz nahofia wasijeanza kuweka Mara oh sahihi hazifanani
Maana mshikaji wangu mmoja alipoteza hela hiv hiv kimasiara
 
Nenda kwa manager wa benk husika mueleze tatizo lako, ataifungua akaunt yako na unaweza kutoa fedha, baada ya hapo ataifunga na utaendelea kuweka hakiba, ila hutopata ongezeko lolote ndani ya miez hii mitatu sababu umevunja mkataba, usiongee na customer care omba uonane na branch manager
Naomba unieleweshe mfano nikadraw ikabaki mil 20 mfano tareh 01/03/ nikaja tena kudraw n mwez wa nne tareh moja je bonus nitapata kuanzia mwezi wa tatu au watahesabu kuanzia wa nne?
 
Back
Top Bottom