mwenye uelewa kuhusu grants application

mwenye uelewa kuhusu grants application

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,368
cjui ni kwamba siko current lkn nilikuwa naomba mni-update application za grants kama zimeshafanyika?na kama bado twa apply aje?
 
yaelekea hata hujui ni jamii ya watu gani wapo huju JF. wengi wao ni vi form6 vinavyoenda chuo, unapozunguzia suala la grants unaongea lugha gangano humu. Think twice.
 
mmmmmhhh kaz kweliiii kweliiiii!!!! sasa sijui hiyooo ndo lugha ganii maanakeee!!!!!!! labda mi peke yangu ndo siijui!!
 
grants ni term ambayo inatumika heslb kumaanisha hela utakayopewa bila kurudisha lkn ufanye kaz Tz kwa miaka5, applicable kwa baadhi ya course za afya xaxa application zza hiyo ni ln?kama hazijafanyika!
 
changia mada iliyoulizwa sio kukosoa spelling mistakes!
 
yaelekea hata hujui ni jamii ya watu gani wapo huju JF. wengi wao ni vi form6 vinavyoenda chuo, unapozunguzia suala la grants unaongea lugha gangano humu. Think twice.
grants ni term ambayo inatumika heslb kumaanisha hela utakayopewa bila kurudisha lkn ufanye kaz Tz kwa miaka5, applicable kwa baadhi ya course za afya xaxa application zza hiyo ni ln?kama hazijafanyika!
 
Grants sio muhas peke yake ni chuo chochote ila uwe umechaguliwa MD,DDS au BVM na lazima uwe na performance ya division 1 au 2 na application zake zitatangazwa so kama una vigezo hivyo subiria tangazo kutoka HESLB!
 
yaelekea hata hujui ni jamii ya watu gani wapo huju JF. wengi wao ni vi form6 vinavyoenda chuo, unapozunguzia suala la grants unaongea lugha gangano humu. Think twice.

lugha uliyotumia hapo kwenye red inaprove kwamba wewe una matatizo ya akili
 
yaelekea hata hujui ni jamii ya watu gani wapo huju JF. wengi wao ni vi form6 vinavyoenda chuo, unapozunguzia suala la grants unaongea lugha gangano humu. Think twice.

Kweli vi-forms six ngoja viende chuo, vinasumbua humu.Wahadhiri wapeni kazi nyingi washindwe kusumbua humu. Tukiona bado wako wanasumbua ni kuwa wahadhiri hamfanyi kazi vizuri!
(By the way mweleweshe basi maana ya grant ni nini usimlaumu tu)
 
Grants sio muhas peke yake ni chuo chochote ila uwe umechaguliwa MD,DDS au BVM na lazima uwe na performance ya division 1 au 2 na application zake zitatangazwa so kama una vigezo hivyo subiria tangazo kutoka HESLB!
Nashukuru mkuu nilixoma mahala wananambia zitakuwa advertized in july,bt it seemz bado nilifikiri nimepitwa!shukrani!
 
Back
Top Bottom