Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
cjui ni kwamba siko current lkn nilikuwa naomba mni-update application za grants kama zimeshafanyika?na kama bado twa apply aje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmmmhhh kaz kweliiii kweliiiii!!!! sasa sijui hiyooo ndo lugha ganii maanakeee!!!!!!! labda mi peke yangu ndo siijui!!yaelekea hata hujui ni jamii ya watu gani wapo huju JF. wengi wao ni vi form6 vinavyoenda chuo, unapozunguzia suala la grants unaongea lugha gangano humu. Think twice.
grants ni term ambayo inatumika heslb kumaanisha hela utakayopewa bila kurudisha lkn ufanye kaz Tz kwa miaka5, applicable kwa baadhi ya course za afya xaxa application zza hiyo ni ln?kama hazijafanyika!yaelekea hata hujui ni jamii ya watu gani wapo huju JF. wengi wao ni vi form6 vinavyoenda chuo, unapozunguzia suala la grants unaongea lugha gangano humu. Think twice.
changia mada iliyoulizwa sio kukosoa spelling mistakes!mmmmmhhh kaz kweliiii kweliiiii!!!! sasa sijui hiyooo ndo lugha ganii maanakeee!!!!!!! labda mi peke yangu ndo siijui!!
grants ni term ambayo inatumika heslb kumaanisha hela utakayopewa bila kurudisha lkn ufanye kaz Tz kwa miaka5, applicable kwa baadhi ya course za afya xaxa application zza hiyo ni ln?kama hazijafanyika!yaelekea hata hujui ni jamii ya watu gani wapo huju JF. wengi wao ni vi form6 vinavyoenda chuo, unapozunguzia suala la grants unaongea lugha gangano humu. Think twice.
yaelekea hata hujui ni jamii ya watu gani wapo huju JF. wengi wao ni vi form6 vinavyoenda chuo, unapozunguzia suala la grants unaongea lugha gangano humu. Think twice.
yaelekea hata hujui ni jamii ya watu gani wapo huju JF. wengi wao ni vi form6 vinavyoenda chuo, unapozunguzia suala la grants unaongea lugha gangano humu. Think twice.
Nashukuru mkuu nilixoma mahala wananambia zitakuwa advertized in july,bt it seemz bado nilifikiri nimepitwa!shukrani!Grants sio muhas peke yake ni chuo chochote ila uwe umechaguliwa MD,DDS au BVM na lazima uwe na performance ya division 1 au 2 na application zake zitatangazwa so kama una vigezo hivyo subiria tangazo kutoka HESLB!