Nina lengo la kufungua duka la vioo sasa nmeona nije hapa nipate mwongozo kabla sjaingia jumla kwa mwenye ufahamu anipe changamoto zake na kama inakipa
Inalipa sana ukijiongeza mkuu. Pia location ina matter sana. Kwa Mtwara tafuta fremu mitaa ya SCOYA au stand ya zamani ukikosa kabisa tafuta maeneo ya BIMA ila iwe inaangalia barabarani