Mwenye uelewa na biashara ya kuuza vioo anipe somo

Mwenye uelewa na biashara ya kuuza vioo anipe somo

Admini

Member
Joined
Aug 11, 2021
Posts
6
Reaction score
4
Habarini kwa ujumla.

Nilikuwa na wazo la kufungua duka la kuuza vioo vipi linalipa na changamoto zake ni zipi hasa?

Karibuni kwa maoni
 
Nina lengo la kufungua duka la vioo sasa nmeona nije hapa nipate mwongozo kabla sjaingia jumla kwa mwenye ufahamu anipe changamoto zake na kama inakipa
 
Admin unazingua maelezo yako hayajitoshelezi..mkoa??Aina ya vioo??
Ukiambiwa ukweli una turemove kwenye group
 
Mwenye uzoefu atupe madini jamani,
 
Inalipa sana ukijiongeza mkuu. Pia location ina matter sana. Kwa Mtwara tafuta fremu mitaa ya SCOYA au stand ya zamani ukikosa kabisa tafuta maeneo ya BIMA ila iwe inaangalia barabarani
 
Back
Top Bottom