Mwenye uelewa na biashara ya shisha atupe muongozo

mabasso

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2022
Posts
1,263
Reaction score
2,378
Wakuu kuna hii biashara ya shisha ambayo naona bado haijagunduliwa na wengi haijasambaa sana lakini naona ina wadau wengi (wateja).

Kuna mwenye details za hii biashara aweze kushare na sisi tupate uelewa kidogo?

Unaweza kuta watu wanajipigia Mihela tukijakushtuka too late. Tunaomba muongozo kwa anayefahamu hii biashara


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wengine hii kitu tulishaijua miaka 10 iliiyopita
Kabla haijavamiwa

Ova
Bora nyie wakuu sio madem wa siku izi na madogo wa vyuo wanaovuta wanatoa kwenye mapua na kuweka status tu
 
Chupa moja (mtambo) unauzwa 150,000 inputs zinauzwa 3000 ww unauza 20,000 mpaka 25,000 so faida ni kuanzia 17,000 mpaka 22000 kwa muuzo mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…