Mwenye uelewa na hili land cruiser 2016

Mwenye uelewa na hili land cruiser 2016

Wacha nijipange 2021 nigombee japo ubunge wa Afrika Mashariki kupitia cha Mzee Rungwe. Naweza kupata hii gari.
 
Price inategemea mwaka wa kutengenezwa 2015 , 2016 au 2017 zote zipo sawa kimuuundo
Ukitaka ambayo haina full options mkoni kuanzia 220m
Ya full options kuanzia 250m na kuendelea
Full options means leather seats rear entaintment high quality music sound
Zaman nilifikir serikal inaingia gharama sana kumbe kwa govt wananunua hayo mengi directly kiwandan japan na price yake unakuta 120m per unit ba hapo ushuru haulipiwi
Na mafuta sio kivileeee uoga wetu tu
 
Siasa Afrika inakupa uhakika wa Hilo v8 bila kufikiria gharama za mafuta na service. Wacha niwe mnafiki nile matunda kama PhDs.
 
Back
Top Bottom