Habari ndugu zangu, kama kichwa cha habari hapo juu naomba anayefahamu vzur shirika hili anifafanulie maana limetangaza baadhi ya post nataka nitupie.
Nijue interview yao wanataka nini?
Benefits( salary)
Allowances
N.k kama kuna mtu ameshapita au ana ndugu anifumbue macho