Mwenye uelewa na simu aina ya Sony Exeria XZS

Xzs imepitwa na wakati sana, labda kama unaipata bei rahisi (chini ya laki na nusu)

Kwa sony Angalau Xz1 kupanda na hizi mpya kama Mark I, Mark II ama Mark III series
 
Xzs imepitwa na wakati sana, labda kama unaipata bei rahisi (chini ya laki na nusu)

Kwa sony Angalau Xz1 kupanda na hizi mpya kama Mark I, Mark II ama Mark III series
Mkuu, Mimi naIfikiria Xperia 5, nini maoni yako bro
 
Nini maana ya mark 1?
Na hii 1m ni 1 million, bei?
Yaani kila mwaka flagship ya Sony yenye umbo dogo inaitwa xperia 5.

Mwaka 2019 ni xperia 5 Mark I
Mwaka 2020 ni xperia 5 mark II
Mwaka 202i ni xperia 5 mark III etc.

So hizo roman numbers zinatofautisha version baina ya mwaka na mwaka.

Na hio 1m ni millioni ndio.
 
One last question sir,
Am about to take it for $393,
As you opinion, is worth it.?
It has 128 storage capacity..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…