Asante ndugu kwa ili Nimetaka kupata muongozo maana mwenye mashine ni mimi ambazo zinaweza kuzalisha tani kwa saa na ni siri yangu.Mkurugenzi wa mkoa kasha nipa eneo.Mtu anauliza TIC watu wanajibu habari za machine sijui zimefanya nini mara machine za nafaka. Mkuu mimi sifahamu ila kwa kuanzia unaweza pita kwenye web yao ambayo ni TIC | Home au ukatembelea ofisi zao za kanda kulingana na kanda uliyopo.
Naomba kazi mkuuBaada ya kumaliza process zote za mashine toka nje na kila kitu.Nimepata wazo ambalo linaweza kunijengea mapema ili kujua TIC taratibu kama muwekezaji wa ndani.
Swala la kupewa eneo kwa ajili ya uwekezaji eneo la kiwanda teyari na kila kitu.
Naitaji kujua TIC itanisaidia vipi maana wengine sio sehemu yetu kubwa zaidi ya forex.
Kongole sana kwa hatua uliyofikia na Mungu akubariki.Baada ya kumaliza process zote za mashine toka nje na kila kitu.Nimepata wazo ambalo linaweza kunijengea mapema ili kujua TIC taratibu kama muwekezaji wa ndani.
Swala la kupewa eneo kwa ajili ya uwekezaji eneo la kiwanda teyari na kila kitu.
Naitaji kujua TIC itanisaidia vipi maana wengine sio sehemu yetu kubwa zaidi ya forex.
Hapana kiwanda kikubwa mpaka sasa mashine zimekula milioni 75 bado kodi na kupeleka eneo husika
Ungewahi TIC kabla ya kuingiza mashine ungepata punguzo la kodi. Hata hivyo bado kuna mengi ya kusaidika; waone ofisini kwao.Hapana kiwanda kikubwa mpaka sasa mashine zimekula milioni 75 bado kodi na kupeleka eneo husika
Kwa hiyo utaajirije boss kana unaogopa waomba kazi mapemaKatika watu na waogopa ni wanaotanguliza kuomba kazi mwanzoni.Mpaka nipate kila kitu kwanza maana nchi yetu sio mgeni kwa changamoto.
Haya Kila la heriUzuri nimeishi kila aina ya wanyama kwa hiyo kwa miaka niliyopo sikurupuki mpaka nimefikia steji hii