Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,523
- 5,159
- Thread starter
- #21
Mkuu madokta wetu nao hawa basi tu, mimi nilikua na tatizo hilo hilo la mguu wa kushoto kuuma na kupoteza nguvu ,
Maumivu yalizidi mpaka kufikia kwenye pumbu,
Yakifikaje sijui
Majamaa walinipa mpaka sindano za UTI pigwa midawa mpaka nikawa nanuna dawa,
Siku moja nikaandika dalili zangu google tu kumbuka hapo imepita kama miaka 15 hivi,
Mwenyewe ndio nakuja kugundua ugonjwa nilionao unaitwa SCIATICA PAIN maelezo yake na images zake zilikua vile vile yani,