BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Sema gari, miguu minne?Habarini wakuu? Hope wazima kabisa..
What is motorcycle fuel consumption per km?
Kwa watumiaji wa hizo pikipiki za miguu minne(Quad Bike) cc700, mnaweza kunisaidia consumption ya petrol kwa km?
Sema gari, miguu minne?
Sema gari, miguu minne?
All most 25 km kwa Lita Moja.Pikipiki ya miguu mi4
Naomba unisaidie kwa hilo mkuu
Sio kweliHumu wote tuna magari wote humu tuna BMW na vanguard
Kinachofanya hii iwe pikpiki ni nini?View attachment 2685816nadhani mtoa mada anazungumzia hizi
Haya mimi ndio nakwambiaSio kweli
Ninavyojua mimi ile ina characters zote za motorbike except ni four wheelers ndio maana wanasema quad ila all in all wajuzi watakueleza vizuriKinachofanya hii iwe pikpiki ni nini?
Mbona mi sinaHaya mimi ndio nakwambia
Peke yako tuMbona mi sina
mimi nilidhania vinaendeshwa beach tu hivi
Hapana tena kuna zile ni hizihizi ATV wanaita all terrain vehiclemimi nilidhania vinaendeshwa beach tu hivi
Offshore Seamen Mkuu msaada wako unahitajika hapaHabarini wakuu? Hope wazima kabisa..
What is motorcycle fuel consumption per km?
Kwa watumiaji wa hizo pikipiki za miguu minne(Quad Bike) cc700, mnaweza kunisaidia consumption ya petrol kwa km?
Offshore Seamen Mkuu msaada wako unahitajika hapa
Peke yako tu
Mpo wawili jf nzima msio na gari...Hata mimi sina gari kamanda wangu