Mwenye uelewa wa hiki chombo anisaidie

Mwenye uelewa wa hiki chombo anisaidie

Quadbike ya 700cc ni kubwa sana, litre 1 itampa km 12 mpaka 14.

Quadbike standard za 250cc mpaka 450cc litre 1 ya mafuta inakupa 20km mpaka 25km

Kamanda, Ist cc 1490 na Quad Bike ya cc 700, ulaji wake una tofautiana?
 
na mimi sina gari, tunakuwa watatu hapo
Long kabla sijajiunga jf nilikua nakuja kama guest dah nilijiona inferior sana matambo yaliokuwepo humu kila mtu ana maisha mazuri sio kama saiv at least 😅
 
Quadbike ya 700cc ni kubwa sana, litre 1 itampa km 12 mpaka 14.

Quadbike standard za 250cc mpaka 450cc litre 1 ya mafuta inakupa 20km mpaka 25km
Nakukubali sana mkuu kwenye hii faculty unaweza ukatuambia pia difference ya quad bike na ATV maana sizielewi hzi
 
Habarini wakuu? Hope wazima kabisa..

What is motorcycle fuel consumption per km?

Kwa watumiaji wa hizo pikipiki za miguu minne(Quad Bike) cc700, mnaweza kunisaidia consumption ya petrol kwa km?
50km/l
 
Back
Top Bottom