Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Quadbike ya 700cc ni kubwa sana, litre 1 itampa km 12 mpaka 14.Offshore Seamen Mkuu msaada wako unahitajika hapa
Mkuu wew labda sio member wa jfHata mimi sina gari kamanda wangu
Mkuu wew labda sio member wa jf
Ndio member na wenye tiki ya blue tuna magarMimi ni Expert sio!π
na mimi sina gari, tunakuwa watatu hapoMpo wawili jf nzima msio na gari...
Quadbike ya 700cc ni kubwa sana, litre 1 itampa km 12 mpaka 14.
Quadbike standard za 250cc mpaka 450cc litre 1 ya mafuta inakupa 20km mpaka 25km
Long kabla sijajiunga jf nilikua nakuja kama guest dah nilijiona inferior sana matambo yaliokuwepo humu kila mtu ana maisha mazuri sio kama saiv at least πna mimi sina gari, tunakuwa watatu hapo
Nakukubali sana mkuu kwenye hii faculty unaweza ukatuambia pia difference ya quad bike na ATV maana sizielewi hziQuadbike ya 700cc ni kubwa sana, litre 1 itampa km 12 mpaka 14.
Quadbike standard za 250cc mpaka 450cc litre 1 ya mafuta inakupa 20km mpaka 25km
Sauti inayotoka na unavyoishika.Kinachofanya hii iwe pikpiki ni nini?
50km/lHabarini wakuu? Hope wazima kabisa..
What is motorcycle fuel consumption per km?
Kwa watumiaji wa hizo pikipiki za miguu minne(Quad Bike) cc700, mnaweza kunisaidia consumption ya petrol kwa km?
50km/l