Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 12,001 Reaction score 27,175 May 27, 2019 Thread starter #21 GLOBAL CITIZEN said: Ndiyo. Ni kifaa kizuri. Nadhani wakina dada wenye kipato kizuri na wenye kuchukizwa na njia artificial za kupanga uzazi wanaweza wakapendezwa na hii device. Karibu ukiwa tayari tuwasiliane. Click to expand... Poa mkuu
GLOBAL CITIZEN said: Ndiyo. Ni kifaa kizuri. Nadhani wakina dada wenye kipato kizuri na wenye kuchukizwa na njia artificial za kupanga uzazi wanaweza wakapendezwa na hii device. Karibu ukiwa tayari tuwasiliane. Click to expand... Poa mkuu
Smt016 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,012 Reaction score 4,300 May 27, 2019 #22 GLOBAL CITIZEN said: Ndiyo. Ni kifaa kizuri. Nadhani wakina dada wenye kipato kizuri na wenye kuchukizwa na njia artificial za kupanga uzazi wanaweza wakapendezwa na hii device. Karibu ukiwa tayari tuwasiliane. Click to expand... Kifaa kimoja kinaweza kutumiwa na watu zaidi ya mmoja?
GLOBAL CITIZEN said: Ndiyo. Ni kifaa kizuri. Nadhani wakina dada wenye kipato kizuri na wenye kuchukizwa na njia artificial za kupanga uzazi wanaweza wakapendezwa na hii device. Karibu ukiwa tayari tuwasiliane. Click to expand... Kifaa kimoja kinaweza kutumiwa na watu zaidi ya mmoja?
GLOBAL CITIZEN JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 767 Reaction score 1,657 May 27, 2019 #23 Smt016 said: Kifaa kimoja kinaweza kutumiwa na watu zaidi ya mmoja? Click to expand... Hapana. Hiki kifaa kinakusanya taarifa za mtumiaji sasa kikitumiwa na watu wengi hiyo haitokuwa sahihi. Lakini kwasababu kinadumu muda mrefu zaidi ya miaka 10 basi inawezekana mwenye nacho akaamua kumpa mwingine baada ya kutumia kwa kipindi fulani. Hapa itabidi taarifa za awali zifutwe.
Smt016 said: Kifaa kimoja kinaweza kutumiwa na watu zaidi ya mmoja? Click to expand... Hapana. Hiki kifaa kinakusanya taarifa za mtumiaji sasa kikitumiwa na watu wengi hiyo haitokuwa sahihi. Lakini kwasababu kinadumu muda mrefu zaidi ya miaka 10 basi inawezekana mwenye nacho akaamua kumpa mwingine baada ya kutumia kwa kipindi fulani. Hapa itabidi taarifa za awali zifutwe.