Mwenye uelewa wa Kifaa hiki Tafadhali

Mwenye uelewa wa Kifaa hiki Tafadhali

Ndiyo.

Ni kifaa kizuri.

Nadhani wakina dada wenye kipato kizuri na wenye kuchukizwa na njia artificial za kupanga uzazi wanaweza wakapendezwa na hii device.

Karibu ukiwa tayari tuwasiliane.
Poa mkuu
 
Ndiyo.

Ni kifaa kizuri.

Nadhani wakina dada wenye kipato kizuri na wenye kuchukizwa na njia artificial za kupanga uzazi wanaweza wakapendezwa na hii device.

Karibu ukiwa tayari tuwasiliane.
Kifaa kimoja kinaweza kutumiwa na watu zaidi ya mmoja?
 
Kifaa kimoja kinaweza kutumiwa na watu zaidi ya mmoja?

Hapana.

Hiki kifaa kinakusanya taarifa za mtumiaji sasa kikitumiwa na watu wengi hiyo haitokuwa sahihi.

Lakini kwasababu kinadumu muda mrefu zaidi ya miaka 10 basi inawezekana mwenye nacho akaamua kumpa mwingine baada ya kutumia kwa kipindi fulani.

Hapa itabidi taarifa za awali zifutwe.
 
Back
Top Bottom