ni pm picha yake.then tutashaurianaNina jiwe ambalo kwa tathmini zangu za awali ni Madini mojowapo yanayopatikana kwenye mkanda wa Almasi(Diamond), naomba msaada wa mawazo niende sehemu gani kwa uhakika zaidi wa jiwe hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe nililonalo liko ndani ya ganda flani ambalo mpaka lichongwe ndio linaweza kuonekanani pm picha yake.then tutashauriana
MmmhJiwe nililonalo liko ndani ya ganda flani ambalo mpaka lichongwe ndio linaweza kuonekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Au Ndìo hilo Avatar?!..Nina jiwe ambalo kwa tathmini zangu za awali ni Madini mojowapo yanayopatikana kwenye mkanda wa Almasi(Diamond), naomba msaada wa mawazo niende sehemu gani kwa uhakika zaidi wa jiwe hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpelekee jiwe ana utaalamu na maweNina jiwe ambalo kwa tathmini zangu za awali ni Madini mojowapo yanayopatikana kwenye mkanda wa Almasi(Diamond), naomba msaada wa mawazo niende sehemu gani kwa uhakika zaidi wa jiwe hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Au umeuziwa vile vipande vya chupa
Kwenye avatar yangu kuna picha ya viatu ambayo ndio biashara yangu. Nina kiwanda Cha kutengeneza viatu aina zoote. Lakini hili jiwe, natafuta mtu serious wa ku share taarifa.Au Ndìo hilo Avatar?!..
Ungetoa picha ingekuwa rahisi na kwa haraka haraka kama ni Almas kama usemavyo basi fanya local test ya Haraka chukua glas ya maji na uliweke humo then uangalie kwewnyemaji kama linaonekana?Sio mkuu. Nina kitu halisi na sijauziwa na mtu. Kwa mtu mwenye uelewa na mambo haya namfuata pm
Sent using Jamii Forums mobile app