Mwenye uelewa wa Madini (aina zake na Masoko)

Mwenye uelewa wa Madini (aina zake na Masoko)

Shuli

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
264
Reaction score
623
Nina jiwe ambalo kwa tathmini zangu za awali ni Madini mojowapo yanayopatikana kwenye mkanda wa Almasi(Diamond), naomba msaada wa mawazo niende sehemu gani kwa uhakika zaidi wa jiwe hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mkuu. Nina kitu halisi na sijauziwa na mtu. Kwa mtu mwenye uelewa na mambo haya namfuata pm

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungetoa picha ingekuwa rahisi na kwa haraka haraka kama ni Almas kama usemavyo basi fanya local test ya Haraka chukua glas ya maji na uliweke humo then uangalie kwewnyemaji kama linaonekana?
pili tikisa hiyo glassna utanijibu.
*na ukumbuke Quartz inaendana na maelezo yako.
 
Back
Top Bottom