Mwenye ufafanuzi juu ya picha hii ya Nyerere akiwa na watu wengine akiwemo Rais Mstaafu Mwinyi atujuze

Pichani ni Baba Wa Taifa JK Nyerere na aliyekuwa kiongozi wa PLO Yasser Arafat.
Pembeni wanaopiga makofi ni Rais wa pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi na aliyekuwa Waziri wa mambo ya Nje Salim Ahmed Salim.

Picha ilipigwa kwenye mkutano mkuu wa CCM Dodoma Oktoba 1987.
 
Hongera sasa....tena sana.
 
muhenga kwenye 1&2

Good
 
Safi sana
 
Kumbe Nifah ni wa kitambo, Kongole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…