kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
- Thread starter
- #21
Swali la mwisho,Pichani ni Baba Wa Taifa JK Nyerere na aliyekuwa kiongozi wa PLO Yasser Arafat.
Pembeni wanaopiga makofi ni Rais wa pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi na aliyekuwa Waziri wa mambo ya Nje Salim Ahmed Salim.
Picha ilipigwa kwenye mkutano mkuu wa CCM Dodoma Oktoba 1987.
Kwanini alibeba silaha kiunoni kwenye mkutano, hakua na walinzi? Usalama wa viongozi wengine ulihakikishwaje? Kumbuka kipindi hicho ni nyakati za vuguvugu la ukombozi afrika, ilikuaje akaruhusiwa?
Natanguliza shukrani