Mwenye ufafanuzi juu ya picha hii ya Nyerere akiwa na watu wengine akiwemo Rais Mstaafu Mwinyi atujuze

Swali la mwisho,
Kwanini alibeba silaha kiunoni kwenye mkutano, hakua na walinzi? Usalama wa viongozi wengine ulihakikishwaje? Kumbuka kipindi hicho ni nyakati za vuguvugu la ukombozi afrika, ilikuaje akaruhusiwa?
Natanguliza shukrani
 
Nimejibu nilikoweza Mkuu, kwa haya sina utaalam nayo.
Asante
 
Lol! Watu bwana, wanauliza swali kubwa hivyo utadhani ulikuwepo hapo wakati picha hiyo inapigwa. Pole sana mrembo.

Ova
 
B… nimekuwa mpole tu, si unajua siku hizi sina makasiriko mie nina raha zangu?

Asante b… Au utanisaidia? Hushindwi jambo, eti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…