Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ziko njia nyingi za kupita toka tabata kuja posta.
Be specific
pitia thread ya mshana, mambo yote unayouliza yameshachambuliwa vizur sana!
Altezza ni gari ndogo kwa umbo ila kiukweli engine yake ni kubwa na ina power. Iko kundi moja na grand mark II, na hata ulaji wa mafuta haipishani sana na RAV4 kili time.Amezungumzia suala hili? La umbal huo? Kama amezungumzia ni vyema ukaweka link
amezungumzia kila kituAmezungumzia suala hili? La umbal huo? Kama amezungumzia ni vyema ukaweka link
Kama hela ya mafuta ina mpa pressure si achukue gari ya engine ndogo kama Vits au Suzuki swift?,habarini wana jamii. Nina jamaa yangu ana taka sana kununua Gari Toyota Altezza 6 Cyl engine CC 1,990. Huyu Jamaa anaishi Tabata Segerea anafanya kazi Posta. waswas wake upo kwenye matumizi ya mafuta. kwamba kwa siku atatumia tsh ngapi kwa safari ya kwenda posta na kurudi kwake.
kuna wadau wenye ufaham mzuri wa magari
1. je kuwa na 6 cyl inaweza kuongeza utumiaji wa Petrol ukilinganisha na 4 cyl?
2. kuna uhusiano gani wa CC na matumizi ya mafuta?
3. Kuna ukweli kuwa engine za VVTi zinatumia mafuta pungufu kidogo
4. Kwa safari ya tabata segerea kwenda posta na kurudi Altezza 6cyl CC 1990 inaweza ikatumia lita ngapi kwa siku?
Nawasilisha.
Kama hela ya mafuta ina mpa pressure si achukue gari ya engine ndogo kama Vits au Suzuki swift?,
Mimi nipo rombo mkuu, tabata relini sijui bima sijui buguruni kwa scorpion hata mzungu hapajui, sema kuna km ngapi? Hali ya barabara ipoje nkBarabara ya tabata bima, relini,bugurun. But mtu anaweza toka uzoefu wake kutokana na njia zake pia
Hakuna MTU anaemiliki gari,Bali gari ndio linakumiliki wewe.sasa wasiwasi wa mafuta wa nini si anunue piki piki sasa
UKIONA MTU ANALALAMIKA GARI INAKUNYWA MAFUTA UJUE WAKATI WAKE WA KUMILIKI GARI BADO
atafutw vitz tu sasa
Elfu kumi kwa siku mzeee..... Au elfu 70 kwa wiki nishamiliki 6 cylinder altezza nakaa Tabata
Nimechekaaa sanaaa yaniii kwa hiyo ameruka stagesasa wasiwasi wa mafuta wa nini si anunue piki piki sasa
UKIONA MTU ANALALAMIKA GARI INAKUNYWA MAFUTA UJUE WAKATI WAKE WA KUMILIKI GARI BADO
atafutw vitz tu sasa