Mwenye Ufaham Matumizi ya Petrol Toyota Altezza Toka Tabata Segerea mpaka Posta Kwa siku

Mwenye Ufaham Matumizi ya Petrol Toyota Altezza Toka Tabata Segerea mpaka Posta Kwa siku

10,000 kwa siku si mbaya kama inaenda na kurudi na unatumia AC ni ya kawaida tu. na hapo haujazima zima barabarani maana si ule uendeshaji wa gari wa kimaskini kwenye folen unazima. inatakiwa gari ukiwasha nyumba na AC utazimia Ofisini. 10,000 si gharama.
We laki 3 kwa mwezi hyo boss ka huna mishe unasanda...

Gari hizo inabd uwe na mishe sio salary tu
 
Hapo akiweka mafuta full tank jumapili inamfikisha kabisa wiki nzima na kubaki kuwa na foleni au isiwepo inapiga mzigo fresh tuu
Kwa beam 2000 full tank ni lita 70 hapo unamwambia aweke mafuta ya t sh 150000 kila wiki kwa mwezi ni laki sita.

Du majanga.
 
Back
Top Bottom