Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kozi hiyo,ina deal sana,na mambo ya hifadhi ya mifuko ya jamii,mf.lapf,nssf,ppf,kwa upande wa ajira,ndio hivyo tena,kwani kama unavyojua kwenye mifuko hii kupata kazi ni inshu,na cha ajabu,wanaofanya kazi,hawajasomea mambo hayo!ila kama unavyojua hapa bongo,ni unamjua nani na si unajua nini.