mwenye ufahamu juu ya course ya barchelor of science in social protection ya ifm

mountana

Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
40
Reaction score
6
ina deal na nini pamoja na sehemu zake za ajira msaada kwa hili
 
kozi hiyo,ina deal sana,na mambo ya hifadhi ya mifuko ya jamii,mf.lapf,nssf,ppf,kwa upande wa ajira,ndio hivyo tena,kwani kama unavyojua kwenye mifuko hii kupata kazi ni inshu,na cha ajabu,wanaofanya kazi,hawajasomea mambo hayo!ila kama unavyojua hapa bongo,ni unamjua nani na si unajua nini.
 
Kwa hiyo kazi zake ni kwenye mifuko ya jamii tu si hata pia kwenye program za kuondoa umaskini unaweza fanya
 
Back
Top Bottom