Dodo18 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 315 Reaction score 93 Mar 14, 2014 #1 Ni kuusu hizi machine za ceragem zinazo tibu magonjwa mengi kwa mtu kuingia kwenye mashine na kukaa dakika chache eti zina madhara gani kwa binadamu, na pia azina mionzi yoyote kama madhara, naomba ufafanuzi wenu please.
Ni kuusu hizi machine za ceragem zinazo tibu magonjwa mengi kwa mtu kuingia kwenye mashine na kukaa dakika chache eti zina madhara gani kwa binadamu, na pia azina mionzi yoyote kama madhara, naomba ufafanuzi wenu please.
Mkuu wa chuo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 7,620 Reaction score 5,335 May 14, 2014 #2 naona hii ilijadiliwa hapa mkuu Ameir na mimi ndio nimeifahamu hebu jaribu kuingia kwenye huu uzi https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/190671-matibabu-ya-ceragem-tanzania.html Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
naona hii ilijadiliwa hapa mkuu Ameir na mimi ndio nimeifahamu hebu jaribu kuingia kwenye huu uzi https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/190671-matibabu-ya-ceragem-tanzania.html