Mwenye ufahamu kuhusu hili

Mwenye ufahamu kuhusu hili

Dodo18

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
315
Reaction score
93
Ni kuusu hizi machine za ceragem zinazo tibu magonjwa mengi kwa mtu kuingia kwenye mashine na kukaa dakika chache eti zina madhara gani kwa binadamu, na pia azina mionzi yoyote kama madhara, naomba ufafanuzi wenu please.
 
Back
Top Bottom