Mwenye ufahamu na bei halisi ya Samsung galaxy j6+ msaada

Mwenye ufahamu na bei halisi ya Samsung galaxy j6+ msaada

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
Niko na plan za kwenda kuinunua hii simu hivi karibuni, kwa wasifu nimeifuatilia inanifaa kwa matumizi yangu na ni latest kwa namna navyotaka! Nilikuwa nahitaji taarifa za bei halisi ya hii simu mwenye nazo anitajie ili nisije kwenda kulanguliwa na wahuni wa mjini! Sijawahi nunua Samsung this is my first purchase na kwa jinsi zilivyo zagaa mjini ni ngumu kujua ipi OG ipi fake, kama kuna mwenye TIPS za kuikagua nijiridhishe ni OG basi nisaidieni wadau!
NB: Nimecheki jumia, price range ni almost 510,000 ila kwakuwa wana mchezo wa ku overprice vitu najua hio sio bei realistic!
Your support will be highly appreciated!
 
Kumbe kuna j6 sikujuaga,ngoja niigoogle
 
Kwa 500K bora uchukue Note 5 au S6 Edge Mkuu.. ni nzuri kuliko hio..
 
Kwa 500K bora uchukue Note 5 au S6 Edge Mkuu.. ni nzuri kuliko hio..
 
Kwa 500K bora uchukue Note 5 au S6 Edge Mkuu.. ni nzuri kuliko hio..
Hizo simu zote nzuri but ziko dated mkuu makes za 2015, mi interest yangu ni 2018 make yenye android Oreo mkuu hasa vile vi soft keys kama vya Note\S 8 na 9 ndio vimenivutia sana kuhamia huku!
 
Hizo simu zote nzuri but ziko dated mkuu makes za 2015, mi interest yangu ni 2018 make yenye android Oreo mkuu hasa vile vi soft keys kama vya Note\S 8 na 9 ndio vimenivutia sana kuhamia huku!
Ahaa sawa sawa Mkuu..
 
Back
Top Bottom