Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Niko na plan za kwenda kuinunua hii simu hivi karibuni, kwa wasifu nimeifuatilia inanifaa kwa matumizi yangu na ni latest kwa namna navyotaka! Nilikuwa nahitaji taarifa za bei halisi ya hii simu mwenye nazo anitajie ili nisije kwenda kulanguliwa na wahuni wa mjini! Sijawahi nunua Samsung this is my first purchase na kwa jinsi zilivyo zagaa mjini ni ngumu kujua ipi OG ipi fake, kama kuna mwenye TIPS za kuikagua nijiridhishe ni OG basi nisaidieni wadau!
NB: Nimecheki jumia, price range ni almost 510,000 ila kwakuwa wana mchezo wa ku overprice vitu najua hio sio bei realistic!
Your support will be highly appreciated!
NB: Nimecheki jumia, price range ni almost 510,000 ila kwakuwa wana mchezo wa ku overprice vitu najua hio sio bei realistic!
Your support will be highly appreciated!