Mwenye ufahamu na biashara ya kuleta mifugo sokoni

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
Habari wadau,
Nataka kujua kwa mtu mwenye ufahamu na biashara ya kuleta mifugo sokoni..i.e vinguguti.
Soko la wanyama kama ng'ombe au mbuzi kwa mzoefu anipe mchanganuo kuwasafirisha mpaka kuja kuwauza, na changamoto zake ni zipi?
Nafikiria kufanya aina hii ya biashara mungu akijalia.
 
Mm nahtaji kujua solo la nguruwe kwa dar mm npo huku kijijin ili nipge cost analysis kama ntapata faida niwalete huko town mm npo kigoma

Mpe anae kupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…