Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Habari wadau,
Nataka kujua kwa mtu mwenye ufahamu na biashara ya kuleta mifugo sokoni..i.e vinguguti.
Soko la wanyama kama ng'ombe au mbuzi kwa mzoefu anipe mchanganuo kuwasafirisha mpaka kuja kuwauza, na changamoto zake ni zipi?
Nafikiria kufanya aina hii ya biashara mungu akijalia.