Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Kuna mtu mwenye ufahamu na hii shule ? Inaonekana ni mpya na mwanangu amepangiwa hapo form five PCM, chakushangaza wenyeji wa manispaa ya shinyanga mjini hawaijui, kama kuna Mwenye uelewa wa sehemu ilipo..na taarifa zizote zitakazosaidia kujua tunwamishe mapema au Laa. Asante.