Mwenye ufahamu na Shinyanga Girls

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
Kuna mtu mwenye ufahamu na hii shule ? Inaonekana ni mpya na mwanangu amepangiwa hapo form five PCM, chakushangaza wenyeji wa manispaa ya shinyanga mjini hawaijui, kama kuna Mwenye uelewa wa sehemu ilipo..na taarifa zizote zitakazosaidia kujua tunwamishe mapema au Laa. Asante.
 
Shinyanga Girls?? ukute kuna shule ya mchanganyiko kwa o level, ila advance ndo wakaamua waweke girls tupu, bas ndo wanachanganya wazazi lol.
 
Hii ni shule mpya,ipo eneo linaitwa butengwa manispaa ya Shinyanga
 
Ni
Shinyanga Girls?? ukute kuna shule ya mchanganyiko kwa o level, ila advance ndo wakaamua waweke girls tupu, bas ndo wanachanganya wazazi lol.
Ni Shule mpya,niya wasichana pekee.Wengi hawaifahamu kwakua ni mpya.
 
Weka picha yake tumuone huyo kimwali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…