Mwenye ufahamu na vyuo vinavyotoa degree ya Computer Science

Mwenye ufahamu na vyuo vinavyotoa degree ya Computer Science

Hiiiiii eti akili kubwa huwa hatudharau taaluma nyingine, hii dunia ina vitu vinachekesha.

Ona sasa unavyojikanyaga hivyo kuthibitisha ulivyokosa consistency

1-paragraph yakwanza unasema mfecane ni vitu vidogo

2- paragraph ya mwisho akili kubwa eti hamdharau taaluma nyingine!!

Unadhalilisha fani yako ya upima, na sidhani kama ulikaa darasani ukapiga hizo survey unazojikosha....wangelamba kichwa mapema sana, wewe hata maji maji sio size yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
-hujaelewa dhana ya maneno vitu vidogo, hiyo maana yake ni kwamba ni vitu ambayo vinaanza kusomea tangu shule ya msingi au ww primary school hujawahi kufundishwa kuhusu mfecane na majimaji?
- Na ndiyo maana Kuna mahali nikakwambia Kuna Watu wanasoma PhD Kwa kuandika kuhusu hizo vita za mfecane na majimaji au hukuona hiyo paragraph?
 
Naona unazidi kufichua ukilaza wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za siku ya leo,

Swali lang ni kwa yeyote anayejua baadhi ya vyuo mbalimbali vinavyotoa degree za computer science.

Nitashukuru Sana maana nipo kwenye mikakati ya kutafuta ila sioni mafanikio yoyote.

Pia kama kuna anayejua baadhi ya website zinazotoa course kama hizi pia naomba anisaidie niweze kuzijua
UDOM,UDSM,DIT ST. JOSEPH nk pia unaweza kusoma hapa course description ya computer science itakauojibu maswali yako kama vile vitu gan utasoma, qualifications and kazi utakazofanya baada ya kumaliza degree yako Bachelor of Science In Computer Science 2022 - TZCAREERS
 
Chuo: UNITED AFRICAN UNIVERSITY OF TANZANIA.

Ownership: Private (Korean Church Mission)

Course: Bachelor of Computer Engineering and Information technology

Location: Kigamboni, Dar es Salaam.

Tuition Fee: TSHS 1,500,000

Accommodation: Available (Tshs 220,000 per semester)
Hiki chuo vipi ? Kikoje hasa kitaaluma kwenye hizo kozi ya ICT?
 
Back
Top Bottom