Umeanza lini hizi tabia za jowzey[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo ni grade ya 4 ya Tanzanite inayoitwa tiny...ina bei sana.
[emoji23] [emoji23]Umeanza lini hizi tabia za jowzey[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahah, you made my night sister, people busy kuokota madini, hali imekuwa ngumu, kila jiwe tunaloliona tunawaza ni madini. Magu Mungu anamuona.Siku hizi kila mtu anaokota madini, wapi na mie nikaokote? Ila sh mia huokoti ng'o
Ha haa huku kwetu siyaoniHahahahah, you made my night sister, people busy kuokota madini, hali imekuwa ngumu, kila jiwe tunaloliona tunawaza ni madini. Magu Mungu anamuona.
Mawe madogo madogo, kokoto hata changarawe hamna huko kwenu, unaweza ukawa unakanyaga madini kila siku afu hutambui.Ha haa huku kwetu siyaoni
Hayo ya kawaida, nataka yanayong'aaMawe madogo madogo, kokoto hata changarawe hamna huko kwenu, unaweza ukawa unakanyaga madini kila siku afu hutambui.
Tumbukiza kwenye maji huwezi jua labda dhahabu imegandiwa na tope ndo mana haing'ai, hujawai kuishi machimbo nini. We okota mawe katumbukize kwenye ndoo yako ya maji yaoshe... Usisahau kuja kutoa shukrani jukwaani.Hayo ya kawaida, nataka yanayong'aa
Sawa bwana mgunduzi,Kumbe uwezo wa kugundua tunao. Ila mpaka tubanweee ndio akili tunatumia vizuri.
Hapa nilipo baada ya kukosa hela nimegundua kitu