Mwenye ufahamu wa hili jiwe

Mwenye ufahamu wa hili jiwe

dzeko96

New Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Mwenyeufaham wowote na hili jiwe lilionotwa n kuhifadhiwa mdogo lakin ucku niliona kinang'aa sana ndani ya droo, kufungua ndo nkakuta hili jiwe cjajua kam ni madini o wat, na kama ni madini je ni madini gani
IMG-20190916-WA0005.jpeg
IMG-20190916-WA0002~2.jpeg
 
Mwenyeufaham wowote na hili jiwe lilionotwa n kuhifadhiwa mdogo lakin ucku niliona kinang'aa sana ndani ya droo, kufungua ndo nkakuta hili jiwe cjajua kam ni madini o wat, na kama ni madini je ni madini gani
IMG-20190916-WA0005.jpeg
 
Hiyo ni grade ya 4 ya Tanzanite inayoitwa tiny...ina bei sana.
 
Mzee baba inabidi alegeze sasa hali ishakuwa ngumu na akili zinanza kuruka taratibu...ngoja na mimi nikaokote jiwe
 
Kumbe uwezo wa kugundua tunao. Ila mpaka tubanweee ndio akili tunatumia vizuri.
Hapa nilipo baada ya kukosa hela nimegundua kitu
 
Hayo ya kawaida, nataka yanayong'aa
Tumbukiza kwenye maji huwezi jua labda dhahabu imegandiwa na tope ndo mana haing'ai, hujawai kuishi machimbo nini. We okota mawe katumbukize kwenye ndoo yako ya maji yaoshe... Usisahau kuja kutoa shukrani jukwaani.
 
Back
Top Bottom