Mwenye ufahamu wa Nissan Note

Mwenye ufahamu wa Nissan Note

chilonge

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
1,531
Reaction score
2,912
Naomba msaada kwa gari tajwa model ya 2006 kushuka chini hasa katika uimara,vifaa na ulaji wa mafuta.

1599482972694.png
 
Naomba msaada kwa gari tajwa model ya 2006 kushuka chini hasa katika uimara,vifaa na ulaji wa mafuta.
Changamoto hapo ni upatikanaji wa spea hapa bongo na ukiipata bei yake imechangamka!kuna jamaa yangu anayo ilipata ajali ikavunjika taa kubwa ya mbele na side mirror,pamoja na kuwa ana hela lkn kuipata hiyo taa na side mirror ikawa ishu ikabidi apaki gari aagize hizo spea toka Ujepu!
 
daah...uzi wa muda mrefu ila najibu leo...binafsi nina nissan note ya 2005 mwaka wa nne sasa...haijawahi kunisumbua sana sana ni yale matengenezo ya kawaida tu kama bushes..break pads...plugs.

Nimewahi pia kubadilj cv joint...vifaa vyote nikivotaja nimevipata hapa hapa Arusha bila usumbifu wowote...spea zake zipo ila bei ipo juu kidogo kulinganisha na toyota.

Note inavaliana kiala kitu na tiida, cube na baadhi ya spear inavaliana na march. so spea zipo ina ni gari inayotaka utunzaji...safari ya mbali kanamudu coz kapo stable barabarani.

kuhusu mafuta siyo mbaya...Arusha to Dar huwa natumia 90,000/.
 
daah...uzi wa muda mrefu ila najibu leo...binafsi nina nissan note ya 2005 mwaka wa nne sasa...haijawahi kunisumbua sana sana ni yale matengenezo ya kawaida tu kama bushes..break pads...plugs..
Shukrani maana huku mtaani kuna watu wantutisha kweli kuhusu hili gari
 
daah...uzi wa muda mrefu ila najibu leo...binafsi nina nissan note ya 2005 mwaka wa nne sasa...haijawahi kunisumbua sana sana ni yale matengenezo ya kawaida tu kama bushes..break pads...plugs...
90000 Ndio nn? We sema arusha dar unatumia litre ngapi, kwa sababu bei za mafuta zinabadilika kila leo! Ulipaswa kusema litre moja inenda kilometre ngapi kwa hyo nissan note yako! Acha ushamba
 
90000 Ndio nn? We sema arusha dar unatumia litre ngapi, kwa sababu bei za mafuta zinabadilika kila leo! Ulipaswa kusema litre moja inenda kilometre ngapi kwa hyo nissan note yako! Acha ushamba
Sasa lumumba una force au
 
90000 Ndio nn? We sema arusha dar unatumia litre ngapi, kwa sababu bei za mafuta zinabadilika kila leo! Ulipaswa kusema litre moja inenda kilometre ngapi kwa hyo nissan note yako! Acha ushamba
pole pole brother naona umekuwa mkali mpaka kuniita mshamba ilhali sikufaham..

anyway, you are right coz I don't know you..

Mara ya mwisho nilisafiri Dar to Arsusha Mafuta yalikuwa 2240 kwa lita So chukua 90'000/2240=40.17..

Kwa wastan hii gari inatumia lita 41 from dar to arusha..
Umbali wa dar to arusha ni km 640 kama sijakosea....km 640/41=15.6 hivyo basi kwa wastan hii Nissan niliendesha km 15 kwa lita moja mwendo wa 100-120 kph.

Hope nimejitahidi kufafanua pamoja na ushamba wangu boss..
 
shukrani maana huku mtaani kuna watu wantutisha kweli kuhusu hili gari
Hata mimi niliponunua nilitishwa sana hasa mafundi waliozoea toyota..
Spea zake zipo.

Juzi nimemwaga oil ya gear box ni NS2 cvt fluid lita nne nimenunua 130000/ hapa Arusha. Wish bone bush...plugs ....ignition coil...cv joint hizi ni baadhi ya spea zinazoweza kusumbua kwenye gari mara nyingi na zote nimezipata hapa hapa Arusha bila usumbufu.

So watu waache kuwatisha watu.
 
Back
Top Bottom