Tumia spray za puaKama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi ni muhanga wa hili tatizo kwa muda mrefu sana nimetumia dawa ya allerg kama cetirizine imeshindikana mwenye ufahamu ya namna ya kuweza kupona anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ipi hiyo nimetumia nasonex, avamysn, ethedrene bado hazikunipa nafuu
Mometasone spray vpKama ipi hiyo nimetumia nasonex, avamysn, ethedrene bado hazikunipa nafuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana nitaifatilia vizuri google pia nipate taarifa zake kamili
PouwaAsante sana nitaifatilia vizuri google pia nipate taarifa zake kamili
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefatilia nimekuta ndio nasonex niliyotumia ndio jina lake lingine au generic name
Nimefatilia nimekuta ndio nasonex niliyotumia ndio jina lake lingine au generic name
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante nimeweza kwenda hospital mbali kubwa nimeishia kupewa dawa swala la operarion ya vinyama wamesema sina ni allerg tu
Samahani ndugu naona kuna kitu unaweza ukanishirikisha nami nikarejea kupona au kupata nafuu wewe ulikuwa na tatizo kama langu na ulikuja ukapona kabisa ?Aidha una nyama zimeota puani, halafu dawa ya allergy ni kuepuka kisababishi, sio madonge hayo.
Au, anza na kutibu Minyoo. Halafu endelea mbele zaidi, mimi mwenyewe walinifanya hivyo hao ndugu wapendwa [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina allergy, ila hiyo shida ilipitiliza mwaka jana, nikaja tumia dozi hiyo hiyo ulopewa haikufanya kitu.Samahani ndugu naona kuna kitu unaweza ukanishirikisha nami nikarejea kupona au kupata nafuu wewe ulikuwa na tatizo kama langu na ulikuja ukapona kabisa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana nimepata pakuanzia nitafanya mrejesho baada ya kuitumii hii dawa kesho asubuhi maana nina miaka mingi sijawahi meza dawa ya minyoo kabisaMimi nina allergy, ila hiyo shida ilipitiliza mwaka jana, nikaja tumia dozi hiyo hiyo ulopewa haikufanya kitu.
Doc yule yule akaniambia nile dawa za minyoo, wana roho mbaya sana hawa jamaa [emoji3][emoji3] nimemaliza dozi, pua zilizibua.
Ila make sure unaepuka, moshi, marashi, vumbi, upepo mkali, kinyesi cha wadudu, mahala kwenye hewa ndogo, usipende kujikalia ndani muda wote. Kale hewa nje [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Allergy inakuwa na nguvu kwenye tumbo lenye minyoo [emoji4][emoji4]Asante sana nimepata pakuanzia nitafanya mrejesho baada ya kuitumii hii dawa kesho asubuhi maana nina miaka mingi sijawahi meza dawa ya minyoo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app