plock
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 446
- 474
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi ni muhanga wa hili tatizo kwa muda mrefu sana nimetumia dawa ya allerg kama cetirizine imeshindikana mwenye ufahamu ya namna ya kuweza kupona anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app