- Thread starter
- #21
Kwa uchumi wangu kwa mkoa ntashindwa, pia ni kazi tu za vibaruaMhusika uko comfort kuhama mkoa ukalinde nyumba ya mtu? Uchumi wako huko ulipo unahamishika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uchumi wangu kwa mkoa ntashindwa, pia ni kazi tu za vibaruaMhusika uko comfort kuhama mkoa ukalinde nyumba ya mtu? Uchumi wako huko ulipo unahamishika?
Nikae na familia yangu mkuuUnataka ukae na familia yako au ni wewe tu hujaspecify mkuu, ili wajue
Ilikaribia kidogo nipoteze shamba langu Njopeka.
Nilinunua shamba kwa Mzee wa Kizaramo Heka 3. Mzee akasema nimuachie aendelee kulima mpaka siku nikilihitaji ataondoka.
Kimfaa mtu chake, siku nimekwama nikataka kuliuza mzee akaja juu kuwa hawezi kuondoka maana nilishamruhusu aendelee na kilimo hivyo alishawekeza nguvu yake. Kipindi anaongea hayo ameshavuna, hakuna mazao yeyote.
Kilichokuja kunisaidia ni Bomba la Songas kupita eneo hilo. Ilikuwa wanalipa fidia na hupewi fidia bila ya nyaraka za eneo. Mzee hakuwa nazo, nikachukua changu mzee akabaki ku deal na watu wa Songas tena.
Point ninayojaribu kuweka hapa ni kwamba wengi wanaopewa uangalizi wa nyumba hasa wa muda mrefu hujipweteka na kuishia kuhisi ni wamiliki kabisa wa maeneo husika. Mara nyingi huwa wasumbufu ikifika wakati wa kuondoka.
Anyways kila heri.
Kazi kwako 👇Habari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu,
Ninaomba kama kuna mtu ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo, ntafanya usafi na kila kinachowezekana ila sharti tu nikae hapo,
NB: Nina familia mke na watoto 2, napatikana MARA
Asanteni🙏🙏
Maisha yako yote kila mtu mfanye adui kwenye mali zako hata kama ni ndugu wa damu, kwa maana ya kuandikishana kwa lawyer na mda wowote ukihitaji mali yako unachukuaIlikaribia kidogo nipoteze shamba langu Njopeka.
Nilinunua shamba kwa Mzee wa Kizaramo Heka 3. Mzee akasema nimuachie aendelee kulima mpaka siku nikilihitaji ataondoka.
Kimfaa mtu chake, siku nimekwama nikataka kuliuza mzee akaja juu kuwa hawezi kuondoka maana nilishamruhusu aendelee na kilimo hivyo alishawekeza nguvu yake. Kipindi anaongea hayo ameshavuna, hakuna mazao yeyote.
Kilichokuja kunisaidia ni Bomba la Songas kupita eneo hilo. Ilikuwa wanalipa fidia na hupewi fidia bila ya nyaraka za eneo. Mzee hakuwa nazo, nikachukua changu mzee akabaki ku deal na watu wa Songas tena.
Point ninayojaribu kuweka hapa ni kwamba wengi wanaopewa uangalizi wa nyumba hasa wa muda mrefu hujipweteka na kuishia kuhisi ni wamiliki kabisa wa maeneo husika. Mara nyingi huwa wasumbufu ikifika wakati wa kuondoka.
Anyways kila heri.
fact.Maisha yako yote kila mtu mfanye adui kwenye mali zako hata kama ni ndugu wa damu, kwa maana ya kuandikishana kwa lawyer na mda wowote ukihitaji mali yako unachukua
Hii story ya hivi ilitokea jijini mzee aliuza nyumba yake kwa mzee mwingine kwa 300m (pagala) kariakoo miaka ya nyuma
Mzee kachukua chake akaomba kwa tajiri aendelee kukaa kwa mda kumbe hela kawagawaia baadhi wanae, akakubaliwa kuishi hapo
Baada ya miaka 3 mzee mwenye eneo akaamua kupiga chini ashushe mjengo waswahili wakamwambia usikubali kuhama mpaka akutoe
Kesi polisi nao wakaona dili wakasema shikilia hapo hapo
Jamaa zilimtoka 30m kumhamisha na kumtoa hapo
Kuna watu wana roho mbaya sana
Hakikisheni mnaandikishana pamoja na kuwa mali ni yako maana wakikaa sana watoto huwa wanasema tumeishi maisha yote hapa ni kama kwetu especially mashamba na huwatoi
Shida huko ni mbali na uchumi wangu sio mzuri kwa kuhama mkoa mkuuKazi kwako 👇
Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika
Shamba lipo hapo Wilaya ya Kisarawe. Majukumu ya kijana ni kuweka mazingira sawa, kulima na kuhakikisha majani hayaoto kwenye shamba husika. Shamba ni la heka 2, halijapandwa zao lolote lina majani. Kuna nyumba katikati ya shamba ambayo ndio makazi ya kijana husika. Nyumba imekamilika inayofaa...www.jamiiforums.com
Hata picha amekuwekea ushindwe wewe
Umesema kweli watu saivi wamekuwa wana roho za unyama sana hata uliyeishi nae kwa uaminifu bado haitoshi kumwamini hasa vitu kama hiviMaisha yako yote kila mtu mfanye adui kwenye mali zako hata kama ni ndugu wa damu, kwa maana ya kuandikishana kwa lawyer na mda wowote ukihitaji mali yako unachukua
Hii story ya hivi ilitokea jijini mzee aliuza nyumba yake kwa mzee mwingine kwa 300m (pagala) kariakoo miaka ya nyuma
Mzee kachukua chake akaomba kwa tajiri aendelee kukaa kwa mda kumbe hela kawagawaia baadhi wanae, akakubaliwa kuishi hapo
Baada ya miaka 3 mzee mwenye eneo akaamua kupiga chini ashushe mjengo waswahili wakamwambia usikubali kuhama mpaka akutoe
Kesi polisi nao wakaona dili wakasema shikilia hapo hapo
Jamaa zilimtoka 30m kumhamisha na kumtoa hapo
Kuna watu wana roho mbaya sana
Hakikisheni mnaandikishana pamoja na kuwa mali ni yako maana wakikaa sana watoto huwa wanasema tumeishi maisha yote hapa ni kama kwetu especially mashamba na huwatoi
Atakupa nauli mtafute tuShida huko ni mbali na uchumi wangu sio mzuri kwa kuhama mkoa mkuu
Wasi wasi wa nini?.Dah comments za watu zimenichanganya kuna watu nimewaachia waniangalizie nyumba ila ma wao wana nyumba ni majirani na nilipojenga
Kabisa nyumba yenyewe nimeshaimaliza imebaki vitu vidogo tu nimeshindwa kuhamia kwasababu nafanya kazi mbali na nilipojenga na sina familia badoWasi wasi wa nini?.
Siku unataka nyumba yako unawaambia wahame.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Tulikuwa na shamba na jirani akaomba alime kwa kuwa tulikuwa hatulihitaji kwa wakati huoUmesema kweli watu saivi wamekuwa wana roho za unyama sana hata uliyeishi nae kwa uaminifu bado haitoshi kumwamini hasa vitu kama hivi
Kaza acha uwogaDah comments za watu zimenichanganya kuna mama nimemwachia aniangalizie nyumba mabinti zake wanalala pale ila na wao wana nyumba ni majirani na nilipojenga
mali ya mtu haipotei.Kabisa nyumba yenyewe nimeshaimaliza imebaki vitu vidogo tu nimeshindwa kuhamia kwasababu nafanya kazi mbali na nilipojenga na sina familia bado
Ningeiacha hivihivi bila mtu ingechakaa maana nyumba nayo inahitaji usafi