Mwenye uhitaji wa betri zilizotumika kwenye minara ninazo

Mwenye uhitaji wa betri zilizotumika kwenye minara ninazo

Huna cha kunifundisha kuhusu haya madude kwahiyo kaa kwa kutulia na sjaweka biashara ya kutaka kuchambua nachouza nenda kaichambue familia yako utoe hoja za msingi huko wabongo bhana daaah tuna roho mbaya Sana watu tunapambana kutafuta ridhiki na maisha wengine hawakujui wala hawakufahamu wanapambana kukwamisha khaaaaa
Wewe itakuwa mwizi Mbona unapanic haraka sana tuvitu tudogo?
 
Aisee 🤔🤔🤔🤔 niliwahi kukutapeli nn mkuu. Si kila mtu ana njaa za kutapeli mpk laki tatu Nina namba za wateja niliowatumia BETRI wengne wako dar naweza mpa mtu amawasiliana nao na akaenda KUCHECK betri kama wanazo na kama wananifahamu. Si kila mtu humu ni tapeli kama ambavyo wewe unatapeli pesa ndogo huko mitandaoni sina njaa ya kutapeli laki tatu ambaye haamini aje asafiri mpka nilipo aje achukue. Pia mkuu jifunze kukaa kimya hiki unachokifanya ni kunihukumu kwa kitu ambacho huna uhakika nacho aisee so sad 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Anakuharibia maisha kama una kajini mchape nacho.
 
Back
Top Bottom