Aisee π€π€π€π€ niliwahi kukutapeli nn mkuu. Si kila mtu ana njaa za kutapeli mpk laki tatu Nina namba za wateja niliowatumia BETRI wengne wako dar naweza mpa mtu amawasiliana nao na akaenda KUCHECK betri kama wanazo na kama wananifahamu. Si kila mtu humu ni tapeli kama ambavyo wewe unatapeli pesa ndogo huko mitandaoni sina njaa ya kutapeli laki tatu ambaye haamini aje asafiri mpka nilipo aje achukue. Pia mkuu jifunze kukaa kimya hiki unachokifanya ni kunihukumu kwa kitu ambacho huna uhakika nacho aisee so sad π€π€π€π€π€π€π€