Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu kwa mchango wako, nilikuwa na wenge sana juu hii chuma.Sio mbaya ni chuma ya uhakika tu tena chuma ya Mhindi huwa ngangari sana, na availability ya spea inaweza kwenye soko la ndani isiwe rahisi kupata lakini kuna jamaa wa tata pale mjini ni kanjibai anakuagizia kenya au chenai mojakwamoja. Ufanyaji kazi wa Injini POA, Uchumi wa Mafuta POA na ufanyaji kazi wa injini na gearbox pia poa kuna kanjibai anafanya kazi pale Whitedent factory Afrikana Mbezi anayo unaweza mtafuta upate maelezo zaidi.