Mwenye ujuzi juu ya hii Gari (TATA Indica VISTA)

Mwenye ujuzi juu ya hii Gari (TATA Indica VISTA)

Ibanda1

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
723
Reaction score
1,125
Wasalaam wanajukwa,

Naomba mwenye uzoefu na Gari aina ya Tata Vista naomba anipe ufafanuzi juu ya Uimara, upatikanaji wa spare, udhaifu wake.
NB: Hii gari ni manual.


800px-Tata_Indica_V1_silver.jpg
800px-2009_Tata_Indica_V2_white.jpg
IMG-20200715-WA0002.jpg
800px-2000_Tata_Indica.JPG
 
Sio mbaya ni chuma ya uhakika tu tena chuma ya Mhindi huwa ngangari sana, na availability ya spea inaweza kwenye soko la ndani isiwe rahisi kupata lakini kuna jamaa wa tata pale mjini ni kanjibai anakuagizia kenya au chenai mojakwamoja.

Ufanyaji kazi wa Injini POA, Uchumi wa Mafuta POA na ufanyaji kazi wa injini na gearbox pia poa kuna kanjibai anafanya kazi pale Whitedent factory Afrikana Mbezi anayo unaweza mtafuta upate maelezo zaidi.
 
Sio mbaya ni chuma ya uhakika tu tena chuma ya Mhindi huwa ngangari sana, na availability ya spea inaweza kwenye soko la ndani isiwe rahisi kupata lakini kuna jamaa wa tata pale mjini ni kanjibai anakuagizia kenya au chenai mojakwamoja. Ufanyaji kazi wa Injini POA, Uchumi wa Mafuta POA na ufanyaji kazi wa injini na gearbox pia poa kuna kanjibai anafanya kazi pale Whitedent factory Afrikana Mbezi anayo unaweza mtafuta upate maelezo zaidi.
Asante sana mkuu kwa mchango wako, nilikuwa na wenge sana juu hii chuma.
 
Hiyo Tata ni gari imara na haina mambo mengine kama unga wa ngano. Kuna jamaa anatumia tangu 2010, na anakaendesha kama sport car maana ni manual na inachanganya haraka pia body lake imara.
 
Hiyo ni chuma ya off-road mbaba ukiwa nayo ni mkataba sijajua kuhusu spare
 
Back
Top Bottom