Mwenye ujuzi na Toyota Belta

Mwenye ujuzi na Toyota Belta

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,758
Reaction score
3,199
Naamini hapa ntapata wataalam wazuri wa magari,

Nahitaji gari kwa ajili ya tax na kuwapeleka watoto shule, angalau nipunguze gharama ya school bus kidogo
Katika pita pita beforward na tradecarview nimeiona hii Toyota Belta, Hasa hii ya 1300cc naamini itakuwa na engine yenye nguvu zaidi na matumizi sahihi ya mafuta

Hebu nipeni uzoefu wa fuel consumption na maintanance cost ya Toyota Belta ya 1300cc na mwaka 2006! ikishindikana mwaweza nipa alternative itakayokidhi mahitaji yangu.

Ikiwezekana wauzaji au mafundi au yeyote anayeifahamu gari hiyo itakuwa vzr zaidi,
 
Naona watu wanapita tu, hakuna hata comment moja aisee
 
Back
Top Bottom