Mwenye ujuzi wa kuagiza gari na Autocom Japan naomba msaada

Gcrown

New Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
2
Reaction score
2
Habari wakubwa,
Samahani kwa wenye experience ya kuagiza gari na hawa Autocom Japan,naomba kufahamu mambo haya:-

1. Kwenye Malipo huwa wanakuwa na Account maalumu ya Kampuni ili kufanya Malipo,au zinabadilika badilika?

2. Huwa wana namba moja maalumu kwa ajili ya mawasiliano WhatsApp au zipo nyingi?

3. Na baada ya kufanya Malipo huwa inachukua muda gani mpaka kupokea gari?.

4. Pia vipi gari zao ubora wake upoje? Na huwa zinaonekana vizuri zikifika kama zilivyo kwenye picha au inakuwa tofauti.

Nawasilisha,
Ashante kwa mwenye kutujuza ili iwe faida kwa wale wenye kiu ya kutaka kufahamu kama mm,hakika watapa kitu kupitia hoja hii.
 
Uzuri Autocom wako na ofisi Dar. Kama upo Dar bora kuwatembelea. Watajibu: 1 na 2.

Kuhusu 3 ni siku 35-60 tokea ulipie.

Wajapan sio wajanjawajanja, hawafichi makosa. Kikubwa fanya kujua kuzisoma na kuzitafsiri condition report na auction sheet.
 
Vipi Auto
Habari wakubwa,
Samahani kwa wenye experience ya kuagiza gari na hawa Autocom Japan,naomba kufahamu mambo haya:-

1. Kwenye Malipo huwa wanakuwa na Account maalumu ya Kampuni ili kufanya Malipo,au zinabadilika badilika?

2. Huwa wana namba moja maalumu kwa ajili ya mawasiliano WhatsApp au zipo nyingi?

3. Na baada ya kufanya Malipo huwa inachukua muda gani mpaka kupokea gari?.

4. Pia vipi gari zao ubora wake upoje? Na huwa zinaonekana vizuri zikifika kama zilivyo kwenye picha au inakuwa tofauti.

Nawasilisha,
Ashante kwa mwenye kutujuza ili iwe faida kwa wale wenye kiu ya kutaka kufahamu kama mm,hakika watapa kitu kupitia hoja hii.
Vipi uliagiza gari kupitia autocom? tupatie basi uzoefu kama hutojali
 
Back
Top Bottom