injini zake siyo imara yaan kuzingua ni kawaida yake halafu cheses yake inakatika hovyo hata kama hubebeshi mizigo mikubwa yaani adui wa hizo pikipiki ni kwenye barabara za mashimo.Tupe maelezo ya kina boss utasaidia sana
Mkuu timing chain inafanyaje Sasa?Sasa TVS na BOXER injini zake ndo zipo imara au??? Hapo kuna mziki was timing chain........HIZO PIKIPIKI KUBWA NI NZURI SANA HASA KWA KAZI NA PILIKAPILIKA.....TENA UKIPATA KINGLION NDO UTAFURAHIA SANA.......ila kama unataka za luxury ndo unaweza nunua TVS au BOXER za mhindi...........MCHINA KWENYE INJINI YUPO VIZURI SANA...........