Mwenye ujuzi wa utengenezaji wa kamba za katani na manila

big dreamer

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
399
Reaction score
1,076
Habari wakuu ninashida ya kufundishwa jinsi ya kutengeneza kamba mbali mbali mwenye ujuzi naomba unijuze au kama unajamaa yako anaujuzi naomba uniunganishe nae,Mimi nipo dar es salaam,,,hata kama ataitaji ada basi tutaelewana tu kwa mawasiliano zaid waweza nichek pm,,, Asante

 
kwanini usijaribu hata YouTube huko kwenye ufundistandi kaka .. huko huwezi toka kapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…