big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 399
- 1,076
Habari wakuu ninashida ya kufundishwa jinsi ya kutengeneza kamba mbali mbali mwenye ujuzi naomba unijuze au kama unajamaa yako anaujuzi naomba uniunganishe nae,Mimi nipo dar es salaam,,,hata kama ataitaji ada basi tutaelewana tu kwa mawasiliano zaid waweza nichek pm,,, Asante